Wednesday, 2 November 2016

Wema na Wolper ndani ya china...

wema sepetu na Jackline Wolper, wakiwa kwenye picha ya pamoja na kuwaacha mashabiki zao midomo wazi kutokana na kuwa ikisemekana wawili hao walikua ni chui na paka licha ya kuwa picha hio ilionesha wakionekana wana furaha lakini pia iliwapatia likes nyingi kwenye kurasa zao za instagram...

No comments:

Post a Comment