Wanafunzi dsj wafanya ziara kituo cha watoto yatima
Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari (DSM) wamefanya ziara ya kutembelea kituo cha watoto yatima kilichopo msimbazi jijini dar es salaam kwa lengo la kutoa msaada wa mavazi ya watoto na chakula.
No comments:
Post a Comment